Saturday, 15 November 2014
KASRI LA RAIS WA UTURUKI RACEP TAYEP EDORGAN
Kasri
la rais wa Uturuki Racep Tayep Edorgan lenye vyumba alfu moja
litagarimu pesa zaidi kuliko pauni milioni mia tatu themanini tano
zilizokadiriwa awali. Maafisa wamesema gharama hiyo ya ziada imetokana
na ujenzi wa vyumba 250 vya kuishi rais Edorgan na ununuzi wa maelfu ya
miti iliyoagizwa kutoka Uturuki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment